Jiunge Na Maonyesho Ya Thamani Kubwa Niliyonayo Kwenye Mambo Ya Ardhi Na Majengo
Kwa majina ninaitwa Aliko Musa. Kazi yangu kwenye maisha yangu yote ni kuwawezesha watu kama wewe kujenga/kutunza utajiri kupitia ardhi na majengo.
Mwezi Januari mwaka 2023, nimeamua kufanya maonyesho ya thamani kubwa sana niliyonayo kwenye mambo ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo.
Ninakuahidi kukupa mambo ya msingi sana sana kuhusu KUJENGA/KUTUNZA UTAJIRI KUPITIA ARDHI NA MAJENGO. Uzuri ni kwamba hakuna gharama yoyote ya kushiriki kwenye maonyesho hayo.
Unachotakiwa ni kujiunga na kundi la whatsapp ambapo ndipo maonyesho ya thamani yangu kubwa yatafanyika.
Ombi langu la pekee kwako.
Naomba uwe rafiki yangu. Naomba tuwe wote kwenye safari hii ya kujenga au kutunza utajiri kupitia ardhi na majengo.
Urafiki kati yangu na wewe unaunganishwa na thamani kubwa sana ninayoenda kukuonyesha mwezi januari.
Naomba uwe wa thamani sana kwangu kwa kujiunga na kundi la maonyesho ya thamani yangu katika maisha yangu. Ninaahidi kutochezea muda wako wa thamani sana sana.
Je endapo hutaona thamani kubwa sana kwangu uchukue hatua gani?.
Naomba uwe mkweli moja kwa moja kwenye eneo la maonyesho kuwaambia wengine kuwa hakuna walichofaidika. Onyesha madhaifu ya mafunzo yangu mbele ya wanachama wote. Kwa wewe kufanya hivyo, itanisaidia sana mimi rafiki yangu kuwa bora sana kwenye eneo hili.
Siwezi kukataa na kubeza maneno yako hata kama utayaleta kwangu kwa namna iwayo yote.
Ninaomba ujiunge na kundi la maonyesho ya thamani yangu kubwa nilinayo kuhusu mbinu bora za kujenga au kutunza utajiri kupitia ardhi na majengo.
Rafiki yako kipenzi,
Aliko Musa.
Mbobezi majengo.
Bofya hapa kujiunga na kundi la mafunzo yatakayofanyika mwezi 05-Januari-2023...
https://chat.whatsapp.com/FeMEt5K2mYbKNYoPR8tRdX
Blog: www.uwekezajimajengo.wordpress.com