Jinsi Ya Kupata Ramani Ya Nyumba Inayoingiza Kiasi Kikubwa Cha Kodi Bila Kuongeza Gharama Za Ujenzi
Sababu mbili (2) ambazo hakuna mshindani anayeweza kukushinda kwenye uwekezaji wa majengo ya kupangisha ni eneo nyumba ilipo na ramani ya nyumba.
Kuna sababu nyingi sana za mshindani wako kumiliki nyumba za kupangisha zenye kuingiza kiasi kikubwa cha fedha. Lakini sababu hizi mbili (2) ndio sababu muhimu mno kuzingatia.
Kwa kufuata mambo haya mawili, mshindani wako atatumia fedha nyingi, muda mwingi na nguvu nyingi sana ili kukufanya uanze kukosa wapangaji.
Ili ubadilishe nyumba yako ya kupangisha ambayo umekosea kuchagua ramani ya nyumba, utahitaji kuibomoa upande au kufanya ukarabati mkubwa sana.
Jambo hili litakugharimu kiasi kikubwa cha fedha ukilinganisha na fedha utakayonilipa mimi kocha wako. Ukiwa na mimi nitakuonyesha na kukuongoza kuchagua ramani inayofaa kwa ajili ya uwekezaji.
Je ni nani atakusaidia kuchagua ramani ya nyumba?.
Mimi hapa menta wako nitakusaidia kuchagua ramani ya nyumba ambayo itakuwa inaingiza kiasi kikubwa cha kodi ya kila mwezi.
Utaweza kupata huduma hii endapo tu utakuwa mwanachama wa kundi la UWEKEZAJI MAJENGO. Kutokuwa mwanachama wa kundi la UWEKEZAJI MAJENGO kunafanya ukose sifa za kupata usimamizi wa kuchagua ramani ya nyumba inayolipa kutoka kwangu.
Je kuna njia mbadala ya kupata ramani ya nyumba?.
Ndiyo. Njia mbadala ya mimi kukusimamia kupata ramani ya nyumba ya kupangisha inayoingiza kiasi kikubwa cha kodi ni kulipia huduma za ushauri kutoka kwangu.
Je somo la ramani ya nyumba litakuwa ni sehemu ya semina ya mwezi juni mwaka 2022?.
Ndiyo. Lakini hili litakuwa ni somo dogo sio somo kuu kwenye semina ya mwezi ujao. Kumbuka kuwa unaweza kupata usimamizi kutoka kwangu kwa sababu utakuwa mwanachama wa kundi la UWEKEZAJI MAJENGO.
Utaweza kunipigia simu, utaweza kunitumia jumbe za kunihoji na nitaweza kushirikiana wewe hatua kwa hatua kuhusu mambo yahusuyo ramani za nyumba kwa ajili ya uwekezaji.
Somo hili litakuwa ni moja ya masomo nitakayokushirikisha kwenye semina ya MBINU 7 ZA KUWEKEZA KWENYE VIWANJA NA MAJENGO KATIKA MAZINGIRA YAKO.
Je baada ya masomo nini kutafuata?.
Baada ya kumalizika kwa semina ya siku 10, tutaendelea kujifunza kila siku mambo ya msingi ya kuwekeza kwenye ardhi na majengo.
Katika kipindi cha miezi sita utaweza kupata ushauri kutoka kwangu moja kwa moja kuhusu uwekezaji kwenye ardhi na majengo.
Katika kipindi hicho cha miezi sita utaweza kusimamiwa na mimi kwenye mchakato wa kuchagua ramani ya nyumba za kupangisha zinazolipa kiasi kikubwa cha kodi ya kila mwezi.
Rafiki yangu mpendwa, kama kweli unahitaji kujenga mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo jiunge na kundi la UWEKEZAJI MAJENGO.
Muhimu; Ada ya uanachama wa kundi la ardhi na majengo ni Tshs.40,000/= kwa miezi sita (6) mfululizo. Unaruhusiwa kulipia kidogo kidogo kuanzia leo hadi tarehe 21 mwezi Juni 2022.
Rafiki yako,
Aliko Musa.
Mbobezi kwenye majengo.